iqna

IQNA

sala ya istisqa
Ibada
IQNA – Sala ya Istisqa (ya kuomba mvua) imepangwa kusaliwa kwenye haram tukufu ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran.
Habari ID: 3478211    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/18

Kiangazi duniani
TEHRAN (IQNA) – Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ametoa wito kwa wauminikuhudhuria sala ya Istisqa siku ya Ijumaa, Novemba 11.
Habari ID: 3476057    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/08